Ifahamu China : Visiwa ambavyo vimekuwa makazi ya starehe kwa ndege wanaohamahama huko Qingdao

  • | KBC Video
    2 views

    Katika makala yetu kuhusu Ifahamu China tunaangazia visiwa ambavyo vimekuwa makazi ya starehe kwa ndege wanaohamahama huko Qingdao baada ya kurejeshwa kwa mfumo wa ikolojia. Tupate maelezo zaidi kutoka kwa Zakia Peng.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive