- 525 viewsMustakbali wa sitisho la mapigano kati ya Israel na kundi ambalo Marekani imelitaja la kigaidi Hamas uko katika mashaka baada ya Israel kuzuia misaada kwenda Ukanda wa Gaza, na kusababisha taharuki ya ununuzi. Israel inasema inataka kuongeza sitisho la sasa la mapigano kwa wiki saba. Hamas inasema inataka mazungumzo ya kumaliza kabisa vita. VOA Swahili inarusha matangazo ya Duniani Leo kupitia Tovuti yetu na jukwaa la Facebook Jumatatu hadi Ijumaa tukikuletea habari mbalimbali za siasa na uchambuzi kwa lugha ya Kiswahili. Tembelea tovuti yetu voaswahili.com/duniani-leo na Makala Maalum ya Jarida la Wikiendi. Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu. Matangazo yetu yanasambazwa kupitia satellite, cable, FM na MW, na and kupitia mtandao wa vituo vya matangazo vya washirika wetu takriban 3000. Tangu kuanzishwa mwaka 1942, Sauti ya Amerika imeendelea na azma yake ya kutoa habari za kina na kuwaambia wasikilizaji wake ukweli. Tangu kipindi cha Vita Vya Pili vya Dunia, Vita Baridi, Vita dhidi ya ugaidi wa kimataifa, na juhudi za ukombozi duniani kote hivi leo VOA imekuwa mfano katika kutekeleza kanuni za vyombo vya habari huru. Jiunge na VOA Swahili: » Tembelea Tovuti Yetu: https://bit.ly/3PtyNWc »Angalia Video Zaidi za VOASwahili: https://bit.ly/3TNTiiI »Pakua VOA+ katika vifaa vya Apple : https://bit.ly/VOAPlus »Download VOA+ katika vifaa vya Android https://bit.ly/3KykriI »Tembelea Tovuti yetu: https://www.voaswahili.com/ »Upende ukurasa wetu wa Facebook: https://www.facebook.com/voaswahili »Tufuatilie katika Instagram: https://www.instagram.com/voaswahili »Tufuatilie katika X: https://twitter.com/voaswahili »Tufuatilie katika YouTube: https://www.youtube.com/@VOASwahili
Israel yazuia misaada kwenda Gaza
- 29 Mar 2025 - A man who allegedly set fire to five Teslas and sprayed them with bullets from a semi-automatic rifle appeared in a US court Thursday to face federal arson charges, the Department of Justice said.
- 29 Mar 2025 - At least four police personnel and two militants were killed in a gun battle in India's restive territory of Jammu and Kashmir, an official said on Friday, as troops searched for heavily armed men who local residents had spotted in the area on Sunday.
- 29 Mar 2025 - Canada plans additional retaliation for U.S. President Donald Trump's auto tariffs and reciprocal tariffs on U.S. trading partners scheduled for early April.
- 29 Mar 2025 - Qatar hosted a second round of talks on Friday between Congo and Rwanda and separately met with representatives of the Rwandan-backed rebellion waging an insurgency in eastern Congo, four sources told Reuters.
- 29 Mar 2025 - South Sudan's First Vice President Riek Machar is under arrest and will be investigated, the government said on Friday - the first official confirmation of a detention that world powers fear could tip the nation back into war.
- 29 Mar 2025 - The terms of a mineral deal between Ukraine and the U.S. have not yet been finalised, Ukrainian officials said on Friday, after a summary of Washington's latest offer suggested it was demanding all of Ukraine's natural resources income for years.
- 29 Mar 2025 - Kenya’s electoral history is a dynamic narrative of struggle, reform, and resilience. From the early post-independence days, when electoral bodies served as mere appendages of the executive, to the hard-fought gains of multiparty democracy and…
- 29 Mar 2025 - A Congolese general expressed "indignation" on Friday about social media comments by Uganda's military chief that threatened to seize a city in northern Congo, reflecting heightened diplomatic strains as the region spirals deeper into conflict.
- 29 Mar 2025 - Relief after portal for university selection finally opens
- 29 Mar 2025 - Agriculture Cabinet Secretary Mutahi Kagwe has called on all stakeholders to embrace Artificial Intelligence (AI) powered and research-backed solutions to end malnutrition.