Itachukua muda gani kujenga tena Gaza?

  • | BBC Swahili
    3,286 views
    Mchakato wa kujenga upya eneo lililoharibiwa la Palestina "utachukua muda mrefu" licha ya ongezeko lililoahidiwa la utoaji wa misaada ya kibinadamu, Kwa mujibu wa Umoja wa Mataifa Je ni gharama kiasi gani kinakadiriwa kutimika? @sammyawamy anaelezea. #bbcswahili #gaza #palestina Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw