'Itikadi za vyama au dini haziwezi kututenganisha na mashabiki Tanzania'

  • | BBC Swahili
    1,129 views
    Mwanamuziki maarufu nchini Tanzania Rayvan amezungumza na Mwandishi wa BBC Debula Kamoli masuala mbalimbali ikiwemo wanamuziki kujihusisha na siasa, kuondoka lebo ya WCB na uhusiano wake na mwanamuziki Diamond Platnumz. #bbcswahili #tanzania #bongofleva Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw