Jamaa aliyekatwa sehemu za siri huko Embu azungumza

  • | Citizen TV
    4,560 views

    Familia ya mwanaume aliyekatwa kwa kisu na mfanyibiashara wa nyama kule Kutus kaunti ya Kirinyaga sasa inadai haki baada ya mshukiwa kutoroka. Jamaa huyo ambaye angali anapokea matibabu katika hospitali ya Kerugoya anasimulia jinsi deni ya ksh 50 nusura likate uhai wake. haya ni huku wakazi wa aneo hilo wakiharibu eneo la biashara la mshukiwa wakidai haki. na kama anavyoripoti mwanahabari wetu Chrispine Otieno mshukiwa huyo angali mafichoni.