Je Afrika kugawanyika hivi karibuni?

  • | BBC Swahili
    1,807 views
    Utafiti wa kijiolojia umeonyesha kuwa bara la Afrika huenda likawa linagawanyika mara mbili. Hii ni kufuatia kuendelea kuongezeka kwa nyufa katika bonde la ufa nchini Kenya. Ahmed Bahajj anaelezea #bbcswahili #kenya #afrika Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw