Je, Bobi Wine ataweza kubadilisha mkondo wa siasa nchini humo?

  • | BBC Swahili
    4,926 views
    Mwanamuziki na mwanasiasa wa upinzani nchini Uganda, Bobi Wine, anasema yeye ndiye chaguo la vijana wa Uganda. Je, anaweza kubadilisha mkondo wa siasa nchini humo? Haya na mengine mengi na @RoncliffeOdit katika Dira ya Dunia TV kwenye ukurasa wetu wa YouTube BBC Swahili. #bbcswahili #uganda #diratv Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw