Je unajua kwamba inzi nao ni walevi tu kama binadamu?

  • | BBC Swahili
    7,801 views
    Utafiti unasema kwamba pombe inachochea ubongo wa nzi kama kwa njia inayofanana na binadamu Nzi hunywa pombe hadi kiwango cha kulewa na hufanya hivyo hata kwa kiwango cha juu cha pombe baada ya kukataliwa. @elizabethkazibure anaelezea #bbcswahili #utafiti #wadudu Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw