Je, unajua madhara ya kujichubua ngozi?

  • | BBC Swahili
    783 views
    Zaidi ya robo tatu ya watu hutumia krimu za kujichubua ngozi nchini Nigeria. Ni taifa lenye matumizi makubwa zaidi ya bidhaa hizo barani Afrika, kwa mujibu wa Shirika la afya duniani. Lakini krimu hizi zina madhara gani?