Jeshi la Sudan lawafurusha RSF ikulu, katika Diya Ya Dunia TV

  • | BBC Swahili
    3,916 views
    Jeshi la Sudan limefanikiwa kuchukua tena udhibiti wa ikulu ya rais mjini Khartoum kutoka kwa vikosi vya wapiganaji wa Rapid Support Forces (RSF) katika mapigano makali. Huu ni ushindi mkubwa kwa jeshi, ambalo limekuwa likipambana na RSF, ambalo lilichukua udhibiti wa mji huo mkuu wakati vita vya wenyewe kwa wenyewe vilipozuka karibu miaka miwili iliyopita.