Skip to main content
Skip to main content

Jipange na Viusasa ilizuru kaunti za Meru na Isiolo

  • | Citizen TV
    581 views
    Duration: 1:25
    Msafara wa Jipange na Viusasa umeingia siku ya nne na ya mwisho katika kaunti ya Meru hii leo ambapo msafara huo umeteka miji mbalimbali kutoka soko la matunguu hadi Nkubu, na Timau hadi Isiolo.