- 63 viewsDuration: 1:10Mbunge wa Dagoretti Kusini John Kiarie amechaguliwa kuwa rais wa chama cha wabunge maskauti ulimwenguni. Hii ndiyo mara ya kwanza kwa chama hicho kumchagua rais kutoka bara Afrika.Kiarie amekuwa akihudumu kama rais wa chama hicho tawi la humu nchini na makamu wa rais ulimwenguni tangu mwaka 2022. Mbunge huyo amesema atatumia fursa hiyo kukuza maadili ya kiskauti bungeni na kubuni sera zitakazofanikisha utekelezaji wa malengo ya maendeleo endelevu. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive