Jopo la kushugulikia dhuluma za kijinsia laahidi kutoa ripoti ya kina kuhusu mauaji ya wanawake

  • | KBC Video
    12 views

    Jopo maalum la kushughulikia dhuluma za kijinsia limeahidikuhakikisha kuwa mapendekezo yake ya mwisho yatashughulikia masuala yaliyoibuliwa na kutoa suluhu zitakazokomesha mauaji ya wanawake na ongezeko la visa vya dhuluma za kijinsia. Akizungumza jijini Nairobi wakati wa shughuli ya kushirikisha umma, mwenyekiti wa jopo hilo Nancy Barasa alisema kuwa wamepokea mapendekezo muhimu ambayo yatajumuishwa katika ripoti ya mwisho.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive