Jopo la majaji watatu kusikiliza kesi za Gachagua lateuliwa

  • | KBC Video
    352 views

    Jaji mkuu Martha Koome amebuni jopo la majaji watatu kusikiza na kuamua rufaa zote zilizowasilishwa katika mahakama mbalimbali humu nchini kupinga kujadiliwa kwa hoja ya kumbandua mamlakan naibu rais Rigathi Gachagua na bunge la seneti. Hapo jana Gachagua aliwasilishwa kesi nyingine katika mahakama kuu kuzuia bunge la seneti kujadili kuondolewa kwake mamlakani siku za jumatano na alhamisi wiki hii.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive