Junior Starlets wazidisha maandalizi ya mechi ya kuwania kufuzu Kombe la Dunia

  • | Citizen TV
    125 views

    Timu ya taifa kwa wasichana chini ya miaka 17 Junior Starlets imezidisha maandalizi yake kwa mechi ya kuwania kufuzu kombe la dunia itakayopigwa mwezi ujao.