Kaende Kaende! Afisa Wa Kaunti Wamwaga Takataka Katika Ofisi Za Kenya Power

  • | TV 47
    14 views

    Kaende Kaende! Afisa Wa Kaunti Wamwaga Takataka Katika Ofisi Za Kenya Power

    Mambo yalichemka jijini Nairobi baada ya serikali ya kaunti ya Nairobi na kampuni ya umeme kenya power kukumbana vikali katika mzozo uliowaacha wengi wakiduwaa.

    Mzozo huu unadaiwa kuanza hapo KPLC ilipositisha huduma za umeme na kuziiacha ofisi za kaunti gizani kwa siku sita zilizopita, huku maafisa wa jiji wakionekana kulipiza kisasi kwa kutupa kiasi kikubwa cha akataka mbele ya ofisi kuu za kampuni ya umeme ya Kenya Power.

    #UpeoWaTV47

    __

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __