Kamati ya uteuzi kukamilisha mahojiano leo

  • | Citizen TV
    179 views

    Kamati ya uteuzi wa makamishna wa iebc inakamilisha mahojiano na wawaniaji hii leo ambapo Vincent Kimutai watu watano wanahojiwa wakiwa ni pamoja na Kimosop Yufnalis Okubo, Anne Waithira Gachoya, aliyekuwa naibu waziri katika wizara ya elimu Hassan Noor hassan, na Michaels Oliewo