Kamati ya uteuzi wa makamishna wa IEBC kuanza mahojiano kesho

  • | Citizen TV
    458 views

    Kamati maalum ya tume ya uchaguzi na mipakana nchini IEBC inayosimamia uteuzi wamakamishna wapya inaanza mahojiano yake hapo kesho. Zoezi hili litakalochukua siku 33 litafanikishwa na kubuniwa kwa tume mpya ya IEBC itakayosimamia uchaguzi mkuu wa mwaka wa 2027. Gatete Njoroge anaarifu