3 Nov 2025 10:58 am | Citizen TV 257 views Duration: 1:34 Serikali ya kaunti ya Taita Taveta inaendelea na mikakati ya kuhakikisha usambazaji wa maji maeneo ya nyanda za chini kama vile Mwatate na Voi unafanyika kwa wakati ufaao.