Kapu La Biashara: Kampuni ya KPC kuwafadhili wanafunzi

  • | KBC Video
    22 views

    Mataifa ya Bara Afrika yanafaa kupunguza utegemezi wa ufadhili wa kigeni kwa miradi ya teknolojia ya mawasiliano na udijitali. Kwa mujibu wa waziri wa habari, mawasiliano na uchumi dijitali, William Kabogo, bara hili lina uwezo wa kukidhi mahitaji yake ya kiteknolojia na kiuchumi kupitia suluhu za mumu humu na ubunifu.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive