Kapu la Biashara: Serikali yatahadharisha kuhusu usalama mtandaoni

  • | KBC Video
    25 views

    Watoaji huduma za kiteknolojia wamehimizwa kuwa waangalifu mtandaoni na kuweka mikakati ya kudumisha usalama wa wateja wao. Katibu katika idara ya utangazaji na mawasiliano Profesa Edward Kisiang’ani anasema teknolojia ibuka zinazua changamoto mpya na ipo haja ya kutunga sheria zitakazotoa mwongozo kuhusu matumizi ya teknolojia hizo mpya ikiwemo Akili Mnemba.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive