10 Sep 2025 1:33 pm | Citizen TV 164 views Duration: 1:38 Serikali ya kitaifa hasa idara ya usalama itashirikiana kwa karibu na serikali ya kaunti ya bungoma ili kuhakikisha visa vya wizi wa vifaa vya shule za chekechea vinadhibitiwa.