Kaunti ya Migori inatarajiwa kunufaika na mashine za kukausha samaki

  • | KBC Video
    39 views

    Kaunti ya Migori inatarajiwa kunufaika na mashine za kukausha samaki kwa kutumia miale ya jua ili kupunguza hasara inayoshuhudiwa baada ya kuvua dagaa almaarufu Omena. Takwimu za muungano wa wavuvi wa ziwa Victoria,zinaonyesha kuwa asilimia 14% ya dagaa wanaovuliwa kila mwaka ziwani Victoria, kutoka Kenya, Uganda, na Tanzania, uharibika kutokana na uhaba wa vifaa vya kuhifadhi na kutunza samaki.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News