Kaunti ya Muranga ni bora katika utoaji huduma

  • | Citizen TV
    552 views

    Kaunti ya Murang’a ndio bora zaidi miongoni mwa utendakazi wa serikali za kaunti. Utafiti wa hivi punde wa Infotrak umeonyesha maendeleo makubwa katika sekta muhimu za ugatuzi. Murang’a na Homa Bay zinaongoza, zikionyesha uwekezaji mkubwa katika sekta ya elimu, afya na kilimo.Kaunti ya Nairobi imesalia nyuma ikilinganishwa na kaunti nyingine na kuorodheshwa miongoni mwa kaunti 10 za mwisho