Kaunti ya Murang’a yaibuka kidedea katika utekelezaji wa shughuli za ugatuzi

  • | KBC Video
    43 views

    Kaunti ya Murang’a ndiyo imeibuka kidedea katika utekelezaji wa shughuli za ugatuzi kwa mujibu wa tathmini iliyofanywa na shirika la Infotrack. Tathmini hiyo ya baina ya mwezi Oktoba na Disemba mwaka jana ilihusisha wakazi 36,200 wa magatuzi yote 47.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive