Kaunti ya Nairobi imeendelea na kunadhifisha jiji kwa kuosha barabara zilizoko katikati ya jiji

  • | Citizen TV
    1,187 views

    Shughuli za kunadhifisha Nairobi zapata kasi kaunti ya Nairobi yaosha barabara katikati ya jiji mabango ya kibiashara yanayoning'inia yameondolewa wamiliki wa majumba watakiwa kupaka rangi majumba yao