Kaunti ya Nandi yaweka karantini ya mifugo wote

  • | Citizen TV
    168 views

    Wafanyabiashara wa mifugo na wakulima katika kaunti ya Nandi wametaka serikali kushughulikia kwa haraka shughuli ya kuchanja mifugo ili warejelee hali ya kawaida.