Kaunti Ya Tana River Kutenga Bajeti Ya Kuwezesha Vijana Kujiendeleza Kwa Kutumia Mtandao

  • | TV 47
    15 views

    Kaunti Ya Tana River Kutenga Bajeti Ya Kuwezesha Vijana Kujiendeleza Kwa Kutumia Mtandao

    Vijana katika Kaunti Ya Tana River wamehimizwa kutumia teknolojia kama njia endelevu ili kukabiliana na suala la ukosefu hapa nchini.

    Seneta Wa Kaunti Ya Tana River Danson Mungatana, amesema vijana wanapaswa kutumia mtandao kujifunza ujuzi wa kiufundi na mikakati ya biashara ambayo wanaweza kuitumia ili kutengeneza fursa za kujiajiri na kuboresha maisha yao.

    #TV47Wikendi #Christmas2024

    __

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __