Kazi Ni Kazi: Biashara ya kutengeneza vitambaa vya kufunikia viti vya magari

  • | KBC Video
    44 views

    Baada ya kuhitimu kutoka shule ya upili, Douglas Chibaye alijitosa katika biashara ya kutengeneza vitambaa vya kufunikia viti vya magari akipokea ujuzi kutoka kwa mjomba wake. Na kile kilichoanza kama mradi mdogo katika karakana ndogo kimegeuka kuwa biashara pana ambapo ubunifu unageuzwa kuwa kitega uchumi. Fredrick Muoki anatupasha zaidi kwenye makala yetu ya Kazi ni Kazi.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News