Kenya na Uganda zaimarisha uhusiano

  • | K24 Video
    29 views

    Kenya na Uganda zimetia saini mikataba saba ya maelewano ambayo inalenga kuimarisha uhusiano wa kibiashara katika sekta tofauti. Miongoni mwa makubaliano hayo ni kuidhinisha kampuni ya mafuta ya Uganda kuagiza bidhaa zake za petroli kupitia kenya na ujenzi wa bomba la mafuta kutoka Eldoret hadi Uganda.