Skip to main content
Skip to main content

Kenya na Uganda zatia zaini mkataba wa kuboresha miundomsingi pamoja na makazi ya mji wa Busia

  • | Citizen TV
    275 views
    Duration: 1:43
    Serikali ya Kenya pamoja na ile ya Uganda kwa ushirikiano na shirika la umoja wa mataifa la makazi un habitat zimetia saini mktaba wa kufanikisha juhudi za kuboresha miundomsingi pamoja na makazi ya mji wa Busia upande wa Kenya na Uganda. .