Kero la mioto misituni

  • | KBC Video
    5 views

    Waziri wa uhifadhi wa mazingira na misitu Adan Duale amewahakikishia Wakenya kwamba serikali kwa ushirikiano na Ufaransa imejitolea kukomesha visa vya mioto ambavyo vimeripotiwa katika maeneo mbali mbali humu nchini. Akiongea wakati wa kuanzisha msafara wa magari na vifaa vya kuzima moto katika makao makuu wa shirika la kuhifadhi misitu-KFS, waziri Duale alisema serikali pia imebuni makundi ya kukabiliana na dharura ambayo yatatumiwa droni kutambua visa vya mioto kwenye misitu. Kufikia sasa hekta-1500 za misitu zimeharibiwa na moto huku visa-231 vya mioto vikiripotiwa kote nchini katika kipindi cha miaka miwili.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive