Skip to main content
Skip to main content

Kero ya Karo yawafanya wanafunzi kukosa kujiunga na vyuo vya vikuu

  • | Citizen TV
    841 views
    Duration: 3:34
    Wanafunzi kutoka familia maskini waliofanya mtihani wa KCSE kati ya mwaka 2021- 2022 kaunti za kisii na migori, bado wamesalia nyumbani baada ya kushindwa kijiunga na vyuo hivyo kutokana na ukosefu w akaro. Wanafunzi hao ambao walipata alama za kuridhisha katika mtihani wa kitaifa na kuteuliwa kujiunga na vyuo wanahangaika kwani familia zao hazikuweza kumudu gharama ya kuwasajili vyuoni. Chrispine Otieno alitangamana na baadhi yao ambao sasa wameajiriwa katika mashamba ya watu binafsi kujichumia riziki wakisubiri usaidizi.