Kijana Wa Miaka 16 Nathan Kiplagat Apoteza Maisha Akisaidia Abiria

  • | TV 47
    364 views

    Kijana Wa Miaka 16 Nathan Kiplagat Apoteza Maisha Akisaidia Abiria

    Hali ya majonzi imetanda katika eneo la Chemosit, mpakani mwa maeneobunge ya Belgut na Bureti, baada ya kijana wa miaka 16, Nathan Kiplagat, kufariki akiwa katika harakati za kuwaokoa abiria waliokuwa wamehusika katika ajali ya gari aina ya Nissan matatu.

    Kijana huyo alipigwa na nguvu za umeme kutoka kwenye nyaya za mhimili uliogongwa na gari hilo

    #UpeoWaTV47 #Christmas2024

    __

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __