Kilio cha haki: Familia za waliotekwa nyara au kuuwawa zafika Seneti

  • | Citizen TV
    857 views

    Familia hizo zawasilisha malalamishi kwa maseneta

    Familia hizo zinataka haki kwa jamaa waliotoweka Nakuru

    Familia ya jamaa anayedaiwa kuuwawa na KWS zafika Seneti