Kinara wa Liberal party of Kenya ataka uteuzi wa makamishna wa IEBC ufanywe kwa njia haki

  • | NTV Video
    353 views

    Kinara wa chama cha Liberal Party of Kenya Augustus Muli amesema kuwa uteuzi wa mwenyekiti na makamishna wa tume ya mipaka na uchaguzi nchini IEBC ufanywe kwa njia ya haki bila kuingiliwa na siasa ya aina yoyote.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya