Kinara wa wiper Kalonzo Musyoka amtaka rais kuwajibikia utekaji nyara

  • | Citizen TV
    763 views

    Kinara wa Wiper Kalonzo Musyoka anamtaka Rais William Ruto kujitokeza na kutoa maelezo kuhusu utekaji nyara wa raia. Kalonzo amemtaka rais kuamrisha wote wanaozuiliwa kinyume na sheria waachiliwe la sivyo ajiuzulu. Kalonzo anasema kuwa taarifa ya waziri wa utumishi wa umma justin muturi kuhusu mwanawe kutekwa nyara na idara ya ujasusi ni dhihirisho kuwa rais anafahamu kinachojiri.