Kindiki apuuza madai ya ushindani wa Kisiasa eneo la Mlima Kenya

  • | KBC Video
    246 views

    Naibu rais Kithure Kindiki amepuuza madai ya kuwepo kwa ushindani wa kisiasa katika ngome yake ya Mlima Kenya, akikariri kujitolea kwake katika ujenzi wa taifa. Akihutubia mkutano katika kaunti ya Tharaka Nithi, Kindiki alisisitiza kwamba anaangazia miradi muhimu itakayolinufai eneo hilo, wala hayumbishwi na wakosoaji wa serikali. Kindiki aliufafanulia umati uliohudhuria mkutano huo kuhusu mipango ya serikali kwa eneo hilo kama vile ujenzi wa barabara, usambazaji wa umeme na ustawi wa kilimo.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive