Kiwango cha mbegu za kiume duniani kinapungua

  • | BBC Swahili
    642 views
    Watafiti wa masuala ya afya wanasema kiwango cha uzalishaji wa mbegu za kutoka kwa wanaume kinapungua kwa kasi duniani kote, na hii inaenda sambamba na ubora wa mbegu hizo. Kwa mujibu wa watafiti wa chuo kikuu cha Semmelweis kilichopo Hungary, kumekuwa na upungufu wa takriban mara mbili ya upatikanaji wake kwa miaka 25 sasa. Hatua hii inaelezwa kusababishwa na masuala kadha wa kadha ikiwemo mfumo wa maisha kwa wanaume. Mwandishi wa BBC @davidnkya255 anaelezea #bbcswahili #utafiti #afya Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw