Kizaazaa ilizuka baada ya msako mkali dhidi wachuuzi na askari wa kaunti ya Kiambu kufika Kiganjo

  • | NTV Video
    205 views

    Kulikuwa na kizaazaa kaunti ya Kiambu wakati wa msako mkali dhidi ya wachuuzi baada ya askari wa kaunti ya Kiambu walifika eneo la kiganjo na kuanza kuwafurusha wafanyabiashara kwa madai ya kutolipa ushuru wa kaunti.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya