Kizaazaa kwa ghadhabu kuhusu mshukiwa wa ubakaji, Kericho

  • | Citizen TV
    408 views

    Kizaazaa kilishuhudiwa katika eneo la Getarwet kaunti ya Kericho wakaazi walipovamia ofisi za chifu wa eneo hilo kutaka kumteketeza mshukiwa wa ubakaji