- 285 viewsDuration: 1:57Wakulima wa Kahawa waliokuwa wamefika hapo kusikiza maamuzi ya kesi yao walilalamika wakisema kuwa wamekuwa wakisafiri mwendo ndefu kutoka maeneo tofauti yanayokuza kahawa ili kufuatilia kesi hiyo. Wakulima hao wanasema wamegharamika sana kutafuta haki mahakamani kuhusiana na shinikizo la kumtaka waziri wa vyama vya ushirika kukomesha mpango wa malipo ya moja kwa moja. Wakulima hao wanataka kulipwa kupitia vyama vyao vya ushirika.