Korti yadinda kubatili uamuzi wa awali wa mahakama kuhusu ufadhili wa vyuo vikuu

  • | Citizen TV
    405 views

    Mahakama kuu imekataa ombi la kusitisha uamuzi wake uliotangaza kuwa mfumo mpya wa serikali wa ufadhili wa masomo ya vyuo vikuu kuwa kinyume na katiba. Katika uamuzi wake, jaji chacha mwita aliafiki uamuzi wa awali uliotolewa mwezi Disemba mwaka jana uliopiga breki mfumo mpya wa serikali wa ufadhili wa vyuo vikuu