Skip to main content
Skip to main content

KPA yapigwa 71–61 mechi ya mwisho ya kundi A lakini yasonga hadi nusu fainali

  • | Citizen TV
    226 views
    Duration: 1:09
    Waalikishi wa Kenya kwenye mchuano wa kufuzu kwa klabu bingwa barani katika mchezo wa vikapu KPA, walipokea kichapo cha 71-61 kwenye mechi ya mwisho ya kundi "A". Hata hivyo KPA ilifuzu kwa nusu fainali inayoendelea kwa sasa.