"Kuanzia leo kuwa kuna jinsia mbili, mwanaume na mwanamke"

  • | BBC Swahili
    716 views
    Katika hotuba yake ya kwanza akiwa rais wa 47 wa Marekani, Donald Trump ameongeza kuwa, kuanzia leo, itakuwa ni sera rasmi ya serikali ya Marekani kwamba kuna jinsia mbili tu, ya kiume na kike. Rais wa Marekani Donald Trump ametoa maagizo ya utendaji muda mfupi baada ya kuapishwa kubadili sera za serikali ya Marekani kuhusu jinsia na utofauti, kufuatia ahadi alizotoa kwenye kampeni. #bbcswahili #marekani #donaldtrump Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw