Kuna "uwezekano mkubwa" chanzo cha corona kuwa ni maabara

  • | BBC Swahili
    974 views
    Shirika la Ujasusi la Marekani (CIA) limetoa tathmini mpya juu ya mlipuko wa Covid, likisema kuna "uwezekano mkubwa" chanzo cha ugonjwa wa corona ni maabara ya China na si wanyama. - Lakini shirika hilo lilionya kuwa lina "Imani kidogo" katika hili. - Uamuzi wa kutoa tathmini hiyo umefanywa na mkurugenzi mpya wa CIA John Ratcliffe, aliyeteuliwa na Donald Trump. #bbcswahili #corona #coviod19 Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw