Kundi la M23 liliundwaje?

  • | BBC Swahili
    7,082 views
    Je machafuko haya yalianzaje? M23 wanahusika vipi? je na kwanini Rwanda inatajwa? Mwandishi wa BBC Munira Hussein anelezea zaidi Unaweza kutazama makala hii kwa kirefu hapa hapa Youtube. Tafuta M23 au machafuko DRC 🎥: @bosha_nyanje #bbcswahili #DRC #GOMA Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw