Kuongezwa kwa idara 7 serikalini kumeibua hisia

  • | Citizen TV
    4,588 views

    Mabadiliko yaliyotekelezwa serikalini hapo jana yamezua maswali chungu nzima, kufuatia kuongezwa kwa idara 7 zaidi. Ongezeko la idara hizo likiashiria kuwa wakenya watalazimika kugharamia maafisa zaidi wa serikali kinyume na alivyosema rais ruto mwaka uliopita kuwa atapunguza gharama ya serikali kwa kiwango kikubwa.