KUPPET chataka serikali iwajibikie afya ya walimu huko Kisii.

  • | Citizen TV
    132 views

    Viongozi wa Kuppet kaunti ya Kisii sasa wametishia kufanya maandano iwapo suala la bima ya afya ya walimu katika hospitali mbalimbali halitashughulikiwa na serikali