Serikali imetakiwa kuweka mifumo dhabiti ili kuimarisha sekta ya elimu ya umma. Kulingana na wadau katika sekta ya elimu, elimu ya umma imetishiwa na ongezeko la shule za kibinafsi na uwekezaji hafifu, huku maeneo kadhaa yakikosa hata shule moja ya umma.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive